Viongozi wa Timu ya Majimaji, hii leo wamekabidhi tuzo maalumu kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba kwa kutambua mchango wake katika kuiwezesha timu yao kuwa na mafanikio na kupata wadhamini, tuzo huyo imetolewa katika jengo la hazina Mjini Dodoma.
Viongozi
wa timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kukabidhi tuzo maalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake
katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni
Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani, Stephen Mapunda Mwenyekiti Kamati ya
Ufundi na Bw. Vian Nchimbi shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.
0 comments:
Post a Comment