Kwa habari za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiburudani



Kwa habari za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiburudani

HABARI KWA WAKATI KUTOKA HAPA

Tunakuhakikishia kupata habari zote zilizo muhimu kutoka ulimwenguni kote kwa wakati, unaweza kusubscribe mtandao wetu na ukawa unapokea habari zote katika email yako punde tu tuchapishapo machapisho yetu. Jiunge na mitandao yetu ya Facebook na Twitter kutupata kirahisi.

HABARI ZA MICHEZO

Sasa African news tunakuhakikishia kupata taarifa zote za kimichezo kutoka viwanja mbalimbali duniani, lengo ni kuhakikisha hupitwi na lolote katika ulimwengu wa michezo.Jiunge na mitandao yetu ya Facebook na Twitter kutupata kirahisi.

TAARIFA ZA BURUDANI NA HABARI ZA WASANII

Unapenda masuala ya burudani? Ni jukumu letu kuhakikisha unazipata info zote za burudani na wasanii wanaokupa burudani, unapata video mpya, movie pamoja na muziki. Kaa karibu nasi.

KURASA ZA MAGAZETI KILA SIKU

Tunakupatia kila ambacho kinaandikwa katika magazeti ya Tanzania na nje ya Tanzania, usitie shaka ukishindwa kununua gazeti uipendalo, sogea karibu nasi na upate kila unachokihitaji.

MAHUSIANO

Fahamu mambo mengi katika ulimwengu wa mapenzi kwa kupitia dondoo, simulizi na visa mbalimbali kupitia Jim Media Online, Jiunge na mitandao yetu ya Facebook na Twitter kutupata kirahisi.

Labels

Showing posts with label HABARI. Show all posts
Showing posts with label HABARI. Show all posts

Tuesday, December 5, 2017

Tanzania: Dar Shines in Vaccination Drive

TANZANIA has set a world record in national immunisation coverage, thanks to the government-backed national Immunisation and Vaccine Programme currently under implementation.

A new report by the World Health Organisation (WHO) says the country has attained 97 per cent, surpassing the target by the Global Vaccine Action Plan (GVAP).

The rate is measured by percentage of children receiving the third dose of the diphtheria-tetanus- pertussis vaccine (DTP3), which is relatively high at 97 per cent in Tanzania, beating the GVAP target, which requires at least 90 per cent coverage in any given country.


The Permanent Secretary (PS) in the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elders and Children, Dr Mpoki Ulisubisya, told the 'Daily News' in Dar es Salaam yesterday that Tanzania was currently at 98 per cent on immunisation and vaccine, saying the country is headed for 100 per cent.

"We have already conducted a series of meetings with all district officials countrywide and we have agreed that we should meet our target by ensuring that immunisation reaches 100 per cent," said the PS.

According to extracts taken the maiden report on the 'Status of Immunisation in Africa,' which is set to be released worldwide this Friday, Tanzania is doing remarkably well in taking initiatives to prevent and combat diseases.

For the first time, WHO has published immunisation data at the sub-national level for over 140 member states worldwide and will be released later this week. Excerpt from the report was exclusively dispatched here from the Global Health Strategies (GHS) in Nairobi.


The GHS Manager, Mr Narmeen Haider, explained that the compilation was done by experts from the WHO; the Vaccine Alliance (Gavi) and United States Agency for International Development (USAID).

The country's Programme Manager for Immunisation and Vaccine, Dr Dafrossa Lyimo, told the 'Daily News' that the 98 per cent success was a result of ongoing 'Reach Every Child' strategy that makes immunisation an important treatment for every child in the country.

Among other strategies, Dr Lyimo said, the government in collaboration with other financiers was allocating funds that are availed to all public and private health centres to ensure every child is vaccinated.


"In the report, they use percentages but we, in the country, normally capitalise on absolute numbers before computing them into percentages... but we are now at 98 per cent and we will soon attain our 100 per cent target," said Dr Lyimo.


Save for Dar's positive strides, recently-released data show that at the current progress rate, Africa will miss the GVAP and Regional Strategic Plan for Immunization (RSPI) target of 90 per cent of respective national immunisation coverage by 2020.

According to the report, Tanzania is one of the only 11 countries in Africa that fund over 50 per cent of their national immunisation programmes. With a population of 50 million, Tanzania has recently introduced the measles second dose vaccine (MCV2), putting the country on track to eliminate measles by 2020.

As Africa nears polio eradication, critical funding for immunisation through the polio eradication programme is expected to decrease which means each country should brace to foot own bills, to that effect.

While Africa has made significant gains towards increasing access to immunisation in the past few decades, immunisation coverage has recently stagnated at 74 per cent, with exception of Tanzania.

According to the Regional Immunization Technical Advisory Group (RITAG), Africa is about to face several funding transitions that will make domestic investments in immunisation more critical than ever.

As Africa nears polio eradication, critical funding for immunization through the polio eradication programme is expected to ramp down. "Additionally, countries approaching middle-income status will transition away from Gavi support for immunisation in the coming years. Countries, including Tanzania, must prepare now to fill these gaps, so that progress on immunization is not reversed," says the report.


The national coverage data often conceals large inequalities in coverage and access within the country that can be discovered through sub-national monitoring. Targeting specific sub-national areas with focused interventions will help countries achieve high and equitable coverage and meet their GVAP and RSPI targets.

Several countries, Tanzania included, have also introduced the pneumococcal conjugate vaccine (PCV) and the rotavirus vaccine to protect the two biggest child killers - pneumonia and diarrhoea.

As far as Measles elimination is concerned, the RSPI has set ambitious targets for the elimination of measles in Africa. And, to achieve elimination by 2020, the framework calls for at least 95 per cent national and sub-national coverage with the measles-containing first dose (MCV1) vaccine.

Tanzanian journalist missing after reporting on murders.

A Tanzanian journalist who reported on a string of murders of officials and police has been missing for the past two weeks, the two newspapers he works for have said.
Azory Gwanda, a reporter for the Mwananchi and The Citizen newspapers, publication of the Nation Media Group, wrote several articles investigating attacks in Kibiti District in Pwani Province, which surrounds Tanzania's main city of Dar es Salaam.
Some 10 police officers and a similar number of local administrative officials have been killed by mystery motorcycle attackers.
Gwanda's wife said he vanished on November 21, after he left in a white Toyota Land Cruiser with unknown people on an "emergency trip", telling her he would return the following evening.

"She became alarmed after he failed to return home and all his numbers could not be (reached) since the day he departed," the newspapers said in a statement on Monday.

Police are investigating the case. The newspapers, part of the East African Nation Media Group, called on them to "speed up the investigation."
Police say they have now broken up the gang of motorcycle assassins.

The motives behind the attacks remained unclear, although President John Magufuli hinted in June the attacks might have been religiously motivated, with some blaming Islamic extremists.

VIGOGO WATANO AKIWAMO MZUNGU WASWEKWA NDANI KWA UKIUKAJI WA SHERIA YA MAZINGIRA.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na
muungano na Mazingira
 Mheshimiwa Kangi
Lugola akizungumza na wananchi ambao mashamba yao yameathirika kutoka na sumu ambayo imeeharibu mazao yao pamoja na viumbe hai.
Moja kati ya wakurugenzi wa Mgodi wa  Nyarugusu Mine Co.Limited  Fred Masanja akionesha cheti NEMC ambacho naibu waziri alikikata.
Bwawa la kuhifadhia maji ya kemikali ambalo limeharibika na kusababisha maji mengi kuelekea kwenye shughuli za wananchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Geita wakikagua eneo ambalo lilipasuka na kupeleka maji ya sumu kwenye maeneo ya mashamba ya wananchi.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola  akiangalia baadhi eneo ambalo limepasuka.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola  ,akitembelea na kuangalia miche ya miti ambayo imekwisha kuathirika.

]Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi na baadhi ya wananchi ambao wameathirika kutokana na maji Hayo kwenye maeneo ya mashamba. (PICHA NA JOEL MADUKA)

Ekari 270 za mashamba ya wakulima kwenye kijiji cha Ziwani Kata ya Nyarugusu Wilayani Geita zimeathiriwa na Sumu iliyotoka kwenye Bwawa la kuhifadhia Kemikali lililopasuka kingo zake na maji kusambaa kwenye mashamba hayo.

Hali hiyo imemlazimu Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Bw Kangi Lugola kuitaka kampuni ya Madini ya Nyarugusu inayohusika na suala hilo kuwalipa fidia wananchi 57 ambao mazao yao yameathirika.

Awali Bw Lugola aliagiza muwekezaji huyo akamatwe kutokana na kile alichodai kuwa ni uvunjifu wa sheria za utunzaji wa mazingira mgodini hapo na kwamba uongozi wa mgodi huo ulimzuia Afisa Mazingira wa Wilaya ya Geita Bi Hellen Eustace kutekeleza majukumu yake baada ya kufika mgodini hapo kukagua namna wanavyozingatia utunzaji mazingira.

Bw Kangi alisema Mwekezaji haruhusiwi kuendelea na shughuli anazozifanya na kufunga mgodi huo hadi watakapotekeleza mambo waliyoelekezwa.

Mkurugenzi wa Nyarugusu Mine Company Bw Fred Masanja amesema kusimamishwa kwa shughuli zao kunaweza kuathiri ytendaji wao kwa kuwa Tani Laki moja na 20 hawataweza kuzizalisha na hivyo watapata hasara ya zaidi ya Sh Milioni 600 hadi 700.

Kenya plans to set up first nuclear plant by 2027.

 Kenya Nuclear Electrification Board (Kneb) chief executive Collins Juma (left), chairperson Teresia Mbaika (right) and Cofek secretary-general Stephen Mutoro during a forum on nuclear electricity for Kenya in Nairobi on December 5, 2017.

Kenya plans to set up its first nuclear power plant by 2027, with construction expected to start within seven years.
The Kenya Nuclear Electricity Board (Kneb) chief executive officer Collins Juma said Tuesday that the prefeasibility study and siting work have already been done.
He said they expect to have the actual site(s) within the next two years.
“The journey to have a nuclear plant started in 2009 and already we have done prefeasibility study and we have been doing the siting work for the last five years but we are hopeful that by 2024 construction works should begin, which will make us the second country in Africa after South Africa to set up a nuclear power plant,” said Mr Juma.
He was speaking during a meeting involving Kneb, the Consumer Federation of Kenya (Cofek), engineering students in the country and the public at Laico Regency in Nairobi on Tuesday.
Capital-intensive
Mr Juma, however, said the programme is capital-intensive, with building a single nuclear power plant capable of producing 1,000MW costing between Ksh500 billion and Ksh600 billion ($5-$6 billion).
He added that a model for constructing and running the power plant had not been arrived at.
He, however, stated that the board has signed a memorandum of understanding with four countries to help Kenya in capacity building as the process is capital intensive and requires highly skilled personnel.

“The programme will create jobs locally both directly and indirectly with human resource planning showing that over 5,000 workers, majority of whom will be drawn from the local labour pool, will be involved in design, siting, bidding and the construction of the nuclear power plant,” said the Kneb boss.
He noted that as the world gradually shifts to cleaner fuels for electricity, Kenya is among countries intending to pursue a nuclear power programme. 
He said there are 438 nuclear power reactors in operation worldwide with a total installed capacity of 374,301MW and a further 71 under construction.

Environment friendly
“We need more power at affordable prices. Nuclear power is environmentally friendly, affordable, reliable and sustainable,” he said.
The Kneb boss said nuclear energy has been identified as a source to fill the deficit Kenya is projected to have by 2030.
He said Kenya will require an estimated 16,000 megawatts of electricity by 2030 by then, yet the country is only able to generate 2,300 megawatts from various other energy sources
“Under the 5,000 megawatts plus initiative, coal and gas will be tapped alongside geothermal and wind to raise the country’s electricity to 7,000MW. 
"There will still be a deficit even if all domestic energy resources were fully exploited," he said.
“Based on this, nuclear energy has been identified as a stable, efficient and reliable source of electricity to spur industrial development and stimulate economic growth,” he said.

Safety and security
For his part, Joseph Maina, Radiation Protection Board acting chief officer, allayed fears concerning the safety, security and disposal of waste from nuclear energy.
Mr Maina said Kenya has a nuclear safeguard where nuclear material must be accounted for atom by atom to make sure no diversion for unintended purposes.
“Kenya has made great strides in enhancing legal framework and approach through necessary regulatory structures to ensure nuclear systems, security and safeguards including the management of radioactive wastes and spent fuel is adhered to,” said Mr Maina.
Cofek secretary-general Stephen Mutoro hailed the programme but urged the board to involve consumers while the process is ongoing to make them fully understand the plan.
“The subject has been misunderstood because of lack of enough information reaching the public but with more stakeholder engagement this will change,” said Mr Mutoro.
-Reported by Collins Omollo.

UTAPIAMLO WATAJWA KUPUNGUA NCHINI TANZANIA.

_DSC0981
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Pawaga, akitoa hotuba ya  ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Maafisa Lishe wa Mikoa nchini ambao unahusisha Wataalam wa kada hiyo waliopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ambao wenye lengo la kuboresha lishe katika Jamii. Mkutano huo unafanyika katika Chuo cha Mipango mjini Dodoma. Kulia kwake ni Stephen Motambi Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI na kushoto kwake ni Dkt. Rasheed MAftah ambaye ni Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI
_DSC0973
Stephen Motambi Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Maafisa Lishe wa Mikoa nchini ambao unahusisha Wataalam wa kada hiyo waliopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ambao wenye lengo la kuboresha lishe katika Jamii
_DSC0961
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa kwanza wa Maafisa Lishe wa Mikoa nchini ambao unahusisha Wataalam wa kada hiyo waliopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ambao wenye lengo la kuboresha lishe katika Jamii, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
_DSC0992
Baadhi ya washiriki wakiwa katika kikao kazi cha kwanza cha Maafisa Lishe wa Mikoa nchini ambao unahusisha Wataalam wa kada hiyo waliopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ambao wenye lengo la kuboresha lishe katika Jamii, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi. Mkutano uliofanyika katika chuo cha Mipango Dodoma
…………….
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Pawaga, amefungua mkutano wa kwanza wa Maafisa Lishe wa Mikoa nchini ambao unahusisha Wataalam wa kada hiyo waliopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ambao una lengo la kuboresha lishe katika Jamii.
 
Akifungua kikao hicho mjini Dodoma, Kaimu Katibu Mkuu Mohamed Pawaga, amesema tatizo la utapiamlo kwa watoto walio chini ya miaka mitano nchini limepungua kwa kiasi kikubwa. “takwimu za Utafiti wa Afya na Demografia Nchini za mwaka 2015/16 zimebaini kupungua kwa  viwango vya Kitaifa vya utapiamlo hasa kwa watoto chini ya umri wa miaka 5 kwa viashiria vya Udumavu, Ukondefu na Uzito pungufu ukilinganisha na hali ilivyokuwa mwaka 2010.  
 
Aidha amesema, kiwango cha Udumavu Kitaifa kimepungua kutoka asilimia 42.8 hadi 34.7, Ukondefu kutoka asilimia 4.8 hadi 3.0 na Uzito Pungufu kutoka asilimia 16 hadi 13, jambo ambalo amesema ni jitihada kati ya Serikali na Wadau katika masuala ya lishe.
Amewataka washiriki hao kufanya kazi stahili na kutoa taarifa za kila robo ya mwaka wa fedha kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ili wafahamu kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa shughuli za Lishe kulingana na Mkataba watakaosaini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI mwishoni mwa mwezi Desemba, 2017.
 
Amewataka washiriki kuufanyia kazi Mpango Jumuishi wa Lishe wa Taifa – 2016/2021 ambao umejikita kwenye maeneo matatu ya Mpango wa pamoja, Usimamizi wa pamoja na Uratibu wa pamoja wa shughuli za Lishe kati ya Serikali na wadau lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa uwajibikaji, uwazi na ufanisi unakuwepo ili kujitathmini ni eneo lipi linafanywa vizuri na lipi linahitaji kuboreshwa ili kupunguza utapiamlo katika jamii.
 
Kwa upande wake Dkt. Rasheed MAftah ambaye ni Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI, amesema kuwa, Mkutano wa kazi huo una lengo la kujadili mbinu za utendaji kazi na kuwapa Maafisa Lishe maelekezo muhimu kuhusu utendaji kazi ikiwa ni sehemu ya kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuleta matokeo bora katika kuimarisha hali ya Lishe nchini na hasa katika kutekeleza “Mpango Jumuishi wa Lishe wa Taifa, 2016 – 2017”
 
Bwana Stephen Motambi Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema kuwa kikao kazi hicho kina lengo la kuwajengea uwezo Maafisa Lishe wa Mikoa ili kuweza kutekeleza shughuli za Lishe katika mikoa yao kwani kwa hivi sasa nchini hali ya udumavu bado si nzuri sana mbayo ni watoto 34 kati ya 100 wanakabiliwa na utapiamlo unaotokana na lishe duni hivyo Washiriki watajadili suala la lishe kama changamoto mojawapo ili kupunguza idadi ya watoto wadumavu ambao wanaliongezea gharama Taifa kwa matibabu yao.
 
Naye msoma risala ya washiriki, Rehema Napegwa amesema ili kufanikisha utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Taifa wa Lishe wa Julai 2015/16 hadi Juni 2020/21 na kuleta matokeo yaliokusudiwa ni mapendekezo yetu kuboresha na kutatua changamoto zilizojitokeza wakati wa utekelezaji wa mkakati wa lishe wa Taifa wa mwaka 2011/12 hadi 2015/16, ikiwa ni pamoja na kuongeze bajeti yake katika kutekeleza afua za lishe na kutoa vibali vya ajira ili Mikoa na Halmashauri ziweze kuajiri watalaamu wa lishe.

UNESCO LAUNCHES A CAMPAIGN WITH THE MAASAI IN NGORONGORO TO REDUCE FEMALE GENITAL MUTILATION.


UNESCO, in close collaboration with the Ngorongoro District Council and the Council of Masaai traditional leaders, will conduct a large campaign to intensify efforts to address Female Genital Mutilation (FGM)in Ngorongoro, particularly during the FGM high season of December 2017 when girls go home from school and parents take the opportunity to circumcise them. The session is a continuation of a similar campaign held in June 2017 where trained campaigners managed to rescue four girls who were in the verge of being mutilated in Ngorongoro district.

The December campaign will consist of three clusters:
1.A School-Based Campaign, targeting students, teachers, and school-parent committees in 28 schools (4 secondary);
2.A Community-Based campaign, targeting mostly parents and caretakers in 29 selected villages in Loliondo division through parent/caretakers village/sub-village sensitization meetings.

3.A Public Campaign through the Loliondo FCommunity Radiwhere a series of programmes will be broadcasted engaging community leaders, law enforcers, medical officials, religious leaders, former ngaribas (circumcisers) and young people.

Expected to reach around 70,000 people, the campaign will kick-off with a 2-day orientation workshop in Wasso on 5 and 6December 2017. The workshop will bring together 65 campaigners and facilitators composed by district and ward officials, Maasai spiritual leaders and Maasai leaders to guide them on how best to deliver key messages to the targeted populationas well as organize for sheltering girls in need.

In the Maasai community, the practice of female genital mutilation is deeply rooted in cultural practices and customary beliefs, part of the ritual passing from childhood to adulthood. According to district health statistics, in 2015, 90% (1,375) of the1693 Maasai women who gave birth at health facilities were circumcised. The Tanzania Demographic and Health Survey 2015/16 indicates that Arusha ranks third nationally on the regions where FGMis practised, with a41% prevalence, right after Manyara and Dodoma.

Since 2015, UNESCO has been collaborating with government and traditional leadersin Ngorongoro district to strengthen the capacities of community-based structures to address sexual and reproductive health related issues including FGM & early marriage, facing girls and young women, as well as promoting girls education with a particular focus on school retention. 

Using the socio-cultural approach, UNESCO’s initiatives has gained community support and achieved notable impact including change of mind-set of some traditional leaders and more than 30 Ngaribas who are now strong advocates against the practice.

Monday, December 4, 2017

IGP WA TANZANIA NA RWANDA WAKUBALIANA KUIMARISHA ULINZI WA MPAKANI.

IGP wa Tanzania, Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo na IGP wa Rwanda, Emmanuel Gasana wakubaliana kushirikiana kudhibiti uhalifu wa mpakani.

Pia watabadilishana uzoefu kwenye mambo kadhaa likiwamo la Uhalifu Mtandaoni (Cybercrimes) ambalo limekuwa ni changamoto kubwa kwa Tanzania.


Thursday, November 30, 2017

LHRC:MATUMIZI YA NGUVU YALIZIDI KWENYE UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI.


TATHMINI YA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI WA MARUDIO WA 26 NOVEMBA 2017 ULIOFANYIKA KATIKA KATA 43.

BUNGE LAWAKANA WABUNGE 8 WA CUF LICHA YA MAHAKAMA KUAMUA.



BUNGE limeweka wazi kuwa hawatambui wanachama wanane waliovuliwa uanachama na Chama cha Wananchi (CUF) na baadaye kutangazwa kuvuliwa nafasi zao za ubunge na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Taarifa hiyo ya Bunge, imetokana na barua ya CUF kwenda kwa Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai inayomtaka amjulishe Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu ya kutengua uamuzi wa awali wa chama hicho wa kuwafuta uanachama wa wabunge hao na kuomba Bunge liwatambue kama bado ni wabunge halali.

Akizungumza na gazeti hili kuhusu taarifa hiyo ya Mahakama Kuu kutengua uamuzi wa awali wa CUF wa kuwafukuza uanachama wabunge hao, Kigaigai alikiri kupokea barua ya chama hicho, lakini alisisitiza kuwa bado chombo hicho hakiwatambui kama wabunge halali.

“Ndio nimeipata barua yao na naanza kuifanyia kazi, ila kifupi tu Bunge haliwatambui watu hao. Sisi tunawatambua wabunge wapya tuliopatiwa orodha na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),” alisisitiza.

Alisema kwa kawaida Bunge hupokea majina ya wabunge wote, wanaoingia ndani ya chombo hicho kutoka NEC na si kwa chama husika, hivyo mpaka sasa hawajapata barua yeyote kutoka kwa tume hiyo, inayobainisha uhalali wa watu hao kuwa wabunge.

Wanachama hao waliokuwa wabunge wa viti maalumu, baada ya kuvuliwa uanachama wao Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kutokana na ukosefu wa nidhamu, walikosa sifa za kuendelea kuwa wabunge.



Wanachama hao ni Saumu Heri Sakala, Salma Mohamed Mwassa, Raisa Abdallah Mussa, Miza Bakari Haji, Khadija Salum Ally Al-Qassmy na Halima Ali Mohamed. Baada ya kuvuliwa uanachama na kuvuliwa ubunge, NEC ilitangaza majina ya wabunge wapya waliochukua nafasi za wabunge, ambao tayari waliapishwa na wanaendelea kulitumikia Bunge hilo

Chanzo: Habari Leo

Sunday, November 26, 2017

Meet Zimbabwe’s new first lady Auxilia Mnangagwa.

Auxilia Mnangagwa served as an MP, representing the same constituency her husband did before becoming vice president.
Zimbabwean newly sworn-in President Emmerson Mnangagwa and his wife Auxilia sit during the Inauguration ceremony at the National Sport Stadium in Harare, on November 24, 2017. Picture: AFP.

 Zimbabwean newly sworn-in President Emmerson Mnangagwa and his wife Auxilia sit during the Inauguration ceremony at the National Sport Stadium in Harare, on November 24, 2017. Picture: AFP.

HARARE - As Zimbabwe celebrates its new president Emmerson Mnangagwa, many have already begun to draw comparison between the new first lady Auxilia and former president Robert Mugabe's wife Grace.

Mugabe is believed to have fired Mnangagwa as vice president to pave the way for his wife's ascension to the Presidency.

Who is Zimbabwe’s new first lady?

At his inauguration on Friday, Mnangagwa began his speech by acknowledging his wife of over 30 years, who had earlier embraced him warmly - much to the crowds delight - after he took his oath of office.

Auxilia is a politician and member of the Zanu-PF.

She served as Member of Parliament, representing the same constituency her husband did before becoming vice president.
The first lady was seen at the Special Central Committee session that saw the expulsion of Grace and the recalling of the former president.

Auxilia was also seen by her husband’s side when he first addressed Zimbabweans upon his return from exile, just days before he was installed president of Zimbabwe.

Zimbabweans have also warned Auxilia to steer clear of her husband’s office.

Zimbabwe's Mugabe cried when he agreed to step down.

 Zimbabwe’s former president Robert Mugabe.
Zimbabwe’s former president Robert Mugabe cried and lamented “betrayal by his lieutenants” when he agreed to step down last week under pressure from the military and his party after 37 years in power, the Standard newspaper said in its Sunday edition.
President Emmerson Mnangagwa, a former Mugabe loyalist, was sworn in on Friday and attention is focused on whether he will name a broad-based government or select figures from Mugabe’s era.
The newspaper quoted sources within Mugabe’s inner circle as saying the devout Catholic held a rosary as he told his close associates and a team of negotiators at his “Blue House” Harare mansion that he was resigning. He announced the decision as parliament heard a motion to impeach him.
“He looked down and said ‘people were chameleons’,” one of the sources was quoted as saying.
The state-owned Sunday Mail quoted Father Fidelis Mukonori, a Jesuit priest who is a close Mugabe friend and mediated his resignation with the military, as saying Mugabe’s face “just glowed” after he signed the resignation letter.
“So we are not talking about a bitter man. I told him that it was good for him to see someone running the country...,” Mukonori told the Sunday Mail

Neither Father Mukonori nor Mugabe’s close aides were immediately available for comment.
Mugabe’s fall after 37 years in power was spurred by a battle to succeed him that pitted Mnangagwa, who had stood by him for 52 years, and Mugabe’s wife Grace, who is 52.
“walk the talk on graft”
The privately-owned Standard newspaper, which has been critical of Mugabe and his government over the years, urged Mnangagwa to “walk the talk on graft”.
At his swearing in ceremony on Friday, Mnangagwa said he valued democracy, tolerance and the rule of law and would tackle corruption. He has also urged citizens not to undertake “vengeful retribution”.
The new government is already moving to bring some of Mugabe and his wife’s close associates to book and former finance minister Ignatius Chombo was in court on Saturday on corruption charges.
Chombo was among several members of a group allied to Grace who were detained and expelled from the ruling Zanu-PF party after the military seized power in “Operation Legacy” which it said was meant to remove the “criminals” around Mugabe.
Chombo, who told the court he was forcibly removed from his home on November 15 by armed men wearing military uniform, was detained until Monday when his bail application will be heard. 
He was led away in leg irons together with ousted head of the ruling Zanu-PF’s influential youth league Kudzanai Chipanga.

WATOTO 20 WENYE MATATIZO YA MOYO WAFANYIWA UPASUAJI WA BILA KUFUNGUA KIFUA.


israel
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child Heart – SACH) ya nchini Israel wamefanya upasuaji  wa bila kufungua kifua (Catheterization) kwa watoto 20 wenye matatizo ya Moyo.

Upasuaji huo ambao unatumia mtambo wa Cathlab umefanyika katika kambi maalum ya matibabu iliyoanza tarehe 23/11/2017 na kumalizika kesho tarehe 27/11/2017. Matibabu yaliyofanyika ni ya kuziba matundu kwenye moyo na kutanua mishipa ya moyo.

Katika kambi hii tunatarajia kufanya uchunguzi wa moyo kwa watoto 100 kati ya hao watoto 60 ambao watakuwa na matatizo makubwa watapelekwa nchini Israel kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa kufungua kifua mwakani  na watoto 40 watatibiwa hapa nchini.

Tumepanga kufanya matibabu kwa watoto 25 tunaamini hadi kambi itakapomalizika watoto wote hawa watakuwa wamepata matibabu. Watoto 20 waliopata matibabu wengine wameruhusiwa na waliobaki hali zao zinaendelea vizuri na wataruhusiwa pindi afya zao  zitakapoimarika.

Tangu mwaka 2015 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ilianza kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child Heart- SACH) ya nchini Israel ambapo hadi sasa jumla ya watoto 40 wamefanyiwa upasuaji wa moyo nchini Israel. Gharama za matibabu ya watoto hawa zinagharamiwa na Taasisi hii. 

Tunawashukuru sana wenzetu hawa wa SACH kwa kuona umuhimu wa kutoa huduma ya matibabu bure kwa watoto wenye matatizo ya moyo. Watoto waliotibiwa wamepona na wale ambao walikuwa wanafunzi   wanaendelea na masomo yao.

Wakati kambi hii inaendelea  baadhi ya wafanyakazi wa SACH na JKCI walienda mkoani Kagera kufuatilia maendeleo ya mtoto Julius Kaijage (12) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Green Acres iliyoko Bunazi ambaye alifanyiwa upasuaji wa moyo nchini Israel mwaka 2013. Tumekuwa na tabia ya kufuatilia maendeleo ya watoto tunaowafanyia upasuaji hii inatusaidia sana kufahamu maendeleo yao.

Aidha tunatarajia kuwa na kambi nyingine  ya matibabu ya moyo  kwa watoto  na watu wazima  itakayoanza kesho tarehe 27/11/2017 hadi tarehe 01/12/2017. Katika kambi hii ambayo tutashirikiana na wenzetu kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia tunatarajia kufanya upasuaji wa kufungua kifua kwa watoto 13 na watu wazima 10.

Tunawaomba wananchi waendeleee kuchangia damu kwani wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo wanahitaji kuongezewa damu  wakati wanapatiwa  matibabu. Kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu wanaopenda  kuchangia damu tunawaomba  wafike Taasisi ya Moyo iliyopo Muhimbili mkabala na Maabara kuu. Kwa maelezo zaidi wawasiliane kwa simu namba 022-2151379 au 0713304149.

Kama mnavyofahamu matibabu ya moyo ni ya gharama hivyo basi tunaendelea kuwahimiza wananchi  kujiunga na mfuko wa taifa wa bima ya afya ambao utawasaidia kulipa gharama za matibabu pindi  watakapougua na kuhitaji kupata matibabu.

 Kwa namna ya kipekee Bodi ya Udhamini, Uongozi na Wafanyakazi wote wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete tunamshukuru sana Mhe. Rais John Pombe Magufuli katika hotuba yake aliyoitoa tarehe 25/11/2017 wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya chuo kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila kwa  kutupatia jengo ambalo tutalifanya kuwa jengo la  watoto. 

 Kama mnavyofahamu asilimia 70 ya wagonjwa tunaowafanyia upasuaji wa kufungua kifua ni watoto,  tuna jumla ya vitanda 123 kati ya hivi vitanda vya watoto ni 24 tu. 

 Kuwa na jengo la watoto  kutasaidia watoto kupata sehemu nzuri ya matibabu pamoja na sehemu ya kujifunza mambo mbalimbali kwani watoto wanahitaji kucheza na kujifunza. Watoto wengine wanakaa wodini muda mrefu wakisubiri matibabu, watoto hawa  wakiwa na mahali pa kujifunzia wataweza hata kujifunza kusoma na kuandika.

Rais Magufuli awapa siku saba vigogo sita wakiwemo mawaziri wake wawili

ca1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
ca2 
  Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa Mamlaka ya Mapato( TRA),  Mamlaka ya Bandari(TPA), Takukuru na Wizara ya Fedha kuhakikisha inatoa taarifa ni nani alihusika kuagiza magari 50 kupitia mgongo wa Ofisi ya Rais.

Rais Magufuli ametoa maagizo hayo leo Jumapili Novemba 26 baada ya kufanya ziara ya ghafla bandarini mara baada ya kutembelea meli ya Wachina iliyofanya matibabu kwa Watanzania kwa muda wa siku 5.
Magari hayo aina ya ambulance ambayo mpaka leo yapo bandarini, yaliagizwa mwaka 2015 kupitia majina ambayo hayatambuliki na Ofisi ya Rais.
Kabla ya kutoa maagizo hayo, Rais amewahoji IGP, Waziri wa Fedha, Kamishna Mkuu wa TRA na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ambao hata hivyo hawakuwa na mujibu kuhusu nani hasa mwagizaji wa magari hayo.
"Natoa onyo kwa mawaziri na wateule wale wote waliotangaza, sitaki mpaka nije kubaini uozo mimi mwenyewe ninataka mpigane kuhakikisha uozo wote unaondoka, safari nyingine nikigundua jambo lolote na wewe ni eneo lako hautapona," amesema.
Ameongeza,  "Ninatoa siku saba,  nataka aliyeagiza haya magari kwa mgongo wa Ofisi ya Rais atambulike ni nani na ninatoa maagizo hata kama ni mtu mkubwa kiasi gani atambulike nahitaji mujibu."
Wakati huohuo Rais Magufuli ametembea umbali wa zaidi ya mita 700 ili kukagua magari ya polisi ambayo yaliingizwa nchini mwaka 2015 lakini bado zaidi ya magari 50 yameendelea kubaki eneo la bandari.
Amemwagiza IGP kuhakikisha anayakagua magari hayo na kuyatoa bandarini ili yakafanye kazi ambayo ilikusudiwa.
  "Kwa nini magari yanakuja hapa yanakaa miaka 10, wakati sheria inasema ni siku 21? Amehoji Rais Magufuli.

 ca3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
ca4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari zaidi ya 6000 yaliyopo bandari ya Dar es salaam mengine yakiwa hapo kwa miaka zaidi ya kumi bila kuchukuliwa na wenye nayo alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
ca5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari zaidi ya 6000 yaliyopo bandari ya Dar es salaam mengine yakiwa hapo kwa miaka zaidi ya kumi bila kuchukuliwa na wenye nayo alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
ca6 ca7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa maelekezo kuhusu magari zaidi ya 50 ya Jeshi la Polisi yaliyopo bandarini toka mwaka 2015 kwa sababu ya kutolipiwa  ushuru alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
ca8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa maelekezo kuhusu magari zaidi ya 50 ya Jeshi la Polisi yaliyopo bandarini toka mwaka 2015 kwa sababu ya kutolipiwa  ushuru alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
PICHA NA IKULU

Wednesday, November 22, 2017

KAFULILA NAYE ATANGAZA KUONDOKA CHADEMA.

Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila amejivua uanachama wa Chadema kwa madai upinzani hauwezi kuendesha vita dhidi ya ufisadi.

Hatua hii inajiri baada ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kusema kwamba kisasi cha CCM kuchukua wanachama wake kitasaidia kuwaondoa wavulana kwenye mapambano ya siasa za upinzani.
Lema ameyasema hayo ikiwa ni muda mfupi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Patrobas Katambi kuomba kuomba ridhaa ya kuingia ndani ya Chama cha Mapinduzi leo katika kikao cha halmashauri Taifa.

Lema amesema kwamba CCM imekuwa na kisasi kikubwa baada ya aliyekuwa Waziri wa Maliasili mstaafu na Mbunge wa Singida Kaskazini  Lazaro Nyalandu kuondoka CCM 

"Baada ya Lazaro kuondoka CCM , CCM wamekuwa na kisasi kikubwa , ambacho kimsingi kitasaidia kuondoa wavulana ktk mapambano haya , bado Mameya wawili ? Na kijana mwingine aliyekuwa shupavu 2010-2015. Msiogope kwani wanawaogopa sana na ndio sababu ya matendo haya" Lema.

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr. Vicent Mashinji amesema kwamba "Ni muda wa kutofautisha kati ya wanaume na wavulana! wana CHADEMA msihofu tunazidi kuimarika. Kila abiria atashuka kwenye kituo chake lakini safari ya ukombozi inaendelea".

Tuesday, November 21, 2017

EAC Secretariat resorts to austerity in cash crunch.

The East African Community Secretary-General Liberat Mfumukeko. He had received only 4.6 per cent of the 2017/18 budget contributions from partner states by the end of September. 

All the main organs and institutions of the East African Community are in distress due to the financial constraints facing the bloc.
The Secretariat had received only 4.6 per cent of the 2017/18 budget contributions from partner states by the end of September, leaving it and its institutions in critical liquidity pressure.
The EAC budget for 2017/18 stood at $113.8 million, an increase of 12 per cent of the $101.4 million the previous fiscal year. Each EAC partner state is required to contribute $8.4 million to this financial year’s Budget.
“Many activities have been stalled, pending remittance of the remaining partner states’ contributions,” a source told The EastAfrican.
Head of the EAC Corporate Communications and Public Affairs Department Othieno Owora promised to issue a statement on the matter soon.
The EAC’s main organs are the Summit, the Council of Ministers, the co-ordinating committees, the sectoral councils, the East African Court of Justice, the East African Legislative Assembly and the Secretariat.

In a September 27 internal memo, EAC Secretary General Liberat Mfumukeko directed the organs and institutions of the EAC to suspend all activities unless the finance directorate confirms availability of funds.
“For the meetings that have to be undertaken, the delegation must be reduced to a bare minimum and only staff performing critical roles should be allowed to travel. Nominations for meetings to be approved by line Deputy Secretary General Finance and Administration,” the internal memo reads.
Critical activities
Mr Mfumukeko says all directorates should identify critical activities and that all other activities should be put on hold until funds are available. 
“Activities that can be conducted without any financial implication should be prioritised,” he stresses in the memo seen by The East African.
Development studies scholar Dr Gasper Mpehongwa, says it is time leaders looked for alternative financing mechanisms, if the EAC integration project is to be realised.
“It’s a shame for leaders who preach EAC integration in public, but privately default on their states’ financial obligations,” Dr Mpehongwa said. 

By PATTY MAGUBIRA
More by this Author 

Botswana's Khama tells Mugabe to quit, Zimbabweans are suffering.

 Botswana's President Ian Khama (right) walks alongside his Zimbabwean counterpart Robert Mugabe during a regional SADC Summit in 2014. PHOTO | AFP
 
Botswana President Ian Khama has made an impassioned plea to his Zimbabwean counterpart Robert Mugabe to be sensitive to the wishes of the people of Zimbabwe and resign.
President Khama is the only African leader to speak openly to the 93-year-old leader since the heightened calls for him to step down last week.
Last week, the Botswana leader reminded President Mugabe that they were presidents and not monarchs and had to resign and let others take over.
“My appeal is necessitated by an unprecedented situation currently unfolding in Zimbabwe whereby your own party, Zanu-PF, is calling for your immediate resignation and is in the process of instituting impeachment,” President Khama wrote Tuesday in an open letter posted on the Botswana Government’s official Facebook Page.
He added: “The people of Zimbabwe have for a long time been subjected to untold suffering as a result of poor governance under your leadership. It is therefore my conviction that by vacating the presidency, this will usher in a new political dispensation that will pave the way for the much needed socio-economic recovery in Zimbabwe.”
President Khama also wrote that President Mugabe's exit would usher in a new period going forward of unity, peace and prosperity for Zimbabweans.

He also said it will allow the southern African country to be the economic powerhouse it is capable of being.
Zanu-PF’s Central Committee has voted to strip President Mugabe of his party leadership post, amid nationwide calls for the 93-year-old leader to resign.
On Tuesday, Zanu-PF ministers heeded a party directive to skip the Cabinet meeting and instead attend a party caucus to discuss impeaching President Mugabe.
The ruling party was poised to begin impeachment proceedings against President Mugabe later Tuesday. 

By PETER DUBE More by this Author
 

MBUNGE MGAYA AWASAIDIA WANAWAKE VYEREHANI 370 NJOMBE

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Neema Mgaya ametoa msaada wa vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Milioni 90 kwa wanawake mkoani humo ili wajikwamue kiuchumi huku akiunga mkono juhudi za Serikali inayohimiza uchumi wa viwanda.

 Akizungumza Mjini Makambako wakati wa hafla ya kukabidhi vyerehani hivyo kwa baadhi ya wanawake, Mgaya amesema amefikia uamuzi huo ili kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuifanya Tanzania kuwa taifa la uchumi wa kati kupitia viwanda. 

Ameeleza juhudi za kumkomboa mwanamke wa mkoa wa Njombe ni jambo linalopiganiwa kwa miaka mingi hivyo vyerehani hivyo vitawafungulia njia kuweza kujikwamua kiuchumi.

“Nimekuwa sina papara katika utendaji wangu, mwaka jana nilitoa msaada wa vitabu vya ziada kwa Shule za Sekondari Halmashauri ya Makambako, ambapo kwa mwaka huu nimeamua kuunga mkono juhudi za serikali upande wa viwanda kwa kuwasadia wanawake hawa vyerehani hivi 370,” alisema Mgaya.


Akifafanua amesema anatambua thamani kubwa walionayo wanawake hivyo kwa kuwawezesha vyerehani hivyo kutainua familia na jamii zinazowazunguka kwani fedha zitakazopatikana zitasaidia huduma za kijamii na mahitaji mengine.

“Mtu ninayemthamini huwa nampa kitu ambacho kitadumu na kumsaidia kwa muda mrefu, mimi nimeamua kutowapa samaki kwani mtamla ataisha, nimewapa nyavu ambayo mtaitumia kuvua samaki, nendeni mkavitunze vyerehani hivi kujiletea maendeleo endelevu,” alisema Mgaya.

Akizungumza baada ya kupokea cherehani yake Diwani wa Viti Maalum Lupembe Neema Limbanga amesema alilolifanya Mbunge huyo wa Viti Maalum halijawahi kutokea katika maisha yake na kwamba vyerehani hivyo vimewafungulia njia kimaisha.

Naye Diwani wa Viti Maalum CCM Njombe, Stella Francis amesema Mgaya amewapa zawadi ambayo licha ya kuwainua kiuchumi itakuwa mkombozi hasa katika ndoa zao, kwani sasa wataweza kuhudumia familia kwa kushirikiana na wanaume zao.

Kutolewa kwa vyerehani hivyo 370 ambavyo ni sawa na viwanda vidogo 92 kwa dhana ya vyerehani vinne sawa na kiwanda kimoja kidogo kunaufanya mkoa wa Njombe kuitikia vilivyo wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhamasisha uchumi wa viwanda. Lengo la Mkoa kupitia wanawake ni kuwa na viwanda vidogo 35 hivyo kwa vyerehani  370 ambavyo Neema amevitoa ni kwamba lengo la kimkoa kupitia wanawake limeshafikiwa.


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe Neema Mgaya (katikati mstari wa mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako Mkoani Njombe ili wajikwamue kiuchumi.
Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Njombe, Neema Mgaya (mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako Mkoani Njombe ili wajikwamue kiuchumi.
Baadhi ya vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 vilivyolewa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Neema Mgaya vikiwa tayari kukabidhiwa kwa baadhi ya wanawake wa Mkoa wa Njombe ili wajikwamue kiuchumi.

SERIKALI YA OMAN YAVUTIWA NA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI TANZANIA.

Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (katikati) akizungumza jambo alipotembelewa na Balozi wa Oman hapa nchini Mhe. Ali A. AL Mahruqi leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Bibi. Zainabu Chaula.
 Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda akizungumza jambo na Balozi wa Oman hapa nchini Mhe. Ali A. AL Mahruqi walipokutana leo Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi akizungumza jambo na Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda alipomtembelea Ofisi kwake leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Bibi. Zainabu Chaula(kushoto) wakimuonyesha Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi kifungu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 kinachozungumzia utoaji  wa huduma za jamii alipotembelea Ofisi za Naibu Waziri wa huyo leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi (wa pili kutoka kulia) alipotembelea Ofisi za TAMISEMI Jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo Bi. Debora Mkemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Bibi. Zainabu Chaula pamoja na mmoja wa Afisa kutoka Mambo ya Nje ya Nchi Bw. Odiro. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)

Na Eliphace Marwa.
 
BALOZI wa Oman Ali Al Mahruqi amesema Wafanyabiashara wa nchi hiyo wamevutiwa na na hatua mbalimbali znazochuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kujenga mazingira bora kwa wawekezaji na wengi wao wapo mbioni kuja kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo nchini.

Balozi Al Mahruqi aliyasema hayo leo aJijini Dar es Salaam wa mazungumzo baina yake na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Joseph Kakunda na kuongeza kuwa suala la usalama wa mitaji yao ni jambo ambalo Wafanyabiashara hao wanapenda kuhakikishiwa na Serikali ya Tanzania.
 
Balozi Mahruqi alisema miongoni mwa fursa zinazowavutia Wafanyabiashara wa Oman kuja kuwekeza nchini ni pamoja na ubora wa miundombinu katika sekta za elimu na mifugo ikiwemo upatikanaji wa tasnia ya nyama.
 
“Serikali ya Oman ina mpango wa kuja kuwekeza katika ukanda wa Afrika Mashariki na kipaumbele kikubwa kitakuwa ni nchi ya Tanzania kutokana na fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo Tanzania,” alisema   Balozi Mahruqi.
 
Aidha Balozi Mahruqi aliitaka Serikali kuharakisha makubaliano ya mikataba baina ya Mataifa hay ili kuwezesha wawekezaji kutoka Oman kupata fursa ya kuwekeza nchini na kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji kutoka Oman.
 
Kwa upande wake Naye Naibu  Waziri Kakunda alimuahidi Balozi Mahruqi kufanyia kazi changamoto zilizopo ili kuhakikisha wawekezaji kutoka Oman wanakuja kwa wingi kuwekeza nchini bila ya kuwa na hofu ya usalama wa mitaji yao.
 
“Nitafuatilia kwa kina kwa wataalamu weu wanaohusika na uwekezaji kwenye kiwanda cha nyama ambapo wawekezaji kutoka Oman watawekeza takribani dola milioni tatu ambazo zitasaidia wafugaji wa Watanzania kupata soko la mifugo yao” alisema Naibu Waziri Kakunda.
 
Aidha Kakunda aliahidi kufuatilia maeneo ambayo Serikali ya Oman iliahidi kusaidia kaika ujenzi wa visima mia moja vya maji katika maeneo ya mashule ili kupata orodha kamili ya shule zinazotakiwa kupatiwa msaada huo.