Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Wednesday, November 8, 2017
Nigeria: Emenalo Quits Chelsea Job
Former Super Eagles player, Michael Emenalo has quit as Chelsea's technical director.
The English Premier
League champions announced on its website yesterday that Emenalo, a key
confidant of club owner, Roman Abramovich, was standing down from his
role at Stamford Bridge.
Emenalo acted as a
link between the first team and the Blues board, had an influence on
transfers, including Chelsea's much-scrutinised loan strategy, and was
involved...
Tuesday, November 7, 2017
HUYU NDIYE MGHANA ALIYETEMWA NA AZAM FC.
Na Elbogast Myaluko.
Klabu ya soka ya Azam FC imetangaza
kuachana na nyota wake wa kimataifa Yahaya Mohamed kutoka nchini Ghana
baada ya kushindwa kuonesha kiwango cha kuridhisha.
Taarifa ya klabu hiyo imesema kuwa viongozi wamekaa na mchezaji huyo
na kumalizana vyema kwasababu pande zote mbili zinatambua changamoto za
mchezo wa soka kuwa kuna mazingira kugoma lakini pia falsafa kutoendana
na mchezaji.
Aidha klabu hiyo...
TFF YAANDAA MICHEZO SOKA LA UFUKWENI
Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) litatoa mafunzo ya soka la ufukweni (Beach Soccer) kwa
vyuo mbalimbali hapa nchini vilivyothibitisha kushiriki Ligi Maalumu ya
soka la Ufukweni itakayoanza Novemba 18, 2017.
Kwa upande wa mafunzo ni kwamba
yatafanyia siku tano kabla ya kuanza kwa ligi hiyo ambako itakuwa ni
Novemba 13, mwaka hu. TFF imepanga kutoa mafunzo hayo kwa vyuo hivyo ili
wauelewe zaidi mchezo huo pamoja na sheria...
Wednesday, November 1, 2017
Ombi la Singida United la kuutumia uwanja wa Namfua lapitishwa
Na Elbogast Myaluko
Bodi ya Ligi Tanzania TPLB imetoa
kibali rasmi kwa klabu ya soka ya Singida United kuanza kutumia uwanja
wake wa Namfua kama uwanja wa nyumbani kwenye mechi zake za ligi kuu
msimu huu.
Bodi
imeziandikia barua timu zote 16 za ligi kuu kuzifahamisha juu ya
Singida United kuhama kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma ambao ilikuwa
inautumia kama uwanja wake wa nyumbani...
Huyu ndiye refa wa mechi ya Chelsea na Man United itakayochezwa Jumapili hii
By Salum Kaorata
Wikiendi hii katika ligi ya Uingereza kuna mechi kubwa mbili ambazo
zinasubiriwa kwa hamu, je unazifahamu? Ni kati ya Chelsea dhidi ya
Manchester United na nyingine ni Manchester City dhidi ya Arsenal.
Mechi hizi zote zinatarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili. Tuitazame
mechi ya Chelsea dhidi ya United ambayo itachezwa katika uwanja wa
Stamford Bridge, unamfahamu muamuzi ambaye amepangiwa kuchezesha mchezo
huo? Basi...