Kwa habari za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiburudani



Kwa habari za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiburudani

Labels

Friday, October 20, 2017

TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017.

Baraza la mitihani la Taifa limetolea matokeo ya darasa la Saba huku ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.4 kutoka asilimia 70.36 ya mwaka 2016 hadi asilimia 72.76 mwaka 2017.

Mikoa iliyofanya vizuri ni Dar es Salaam, Geita, Kagera, Iringa, Kilimanjaro, Njombe, Arusha, Mwanza, Katavi na Tabora wakati shule zilizofanya vizuri ni St Peter na At Severine- Kagera, Alliance- Mwanza, sir John - Tanga, Palikas-Shinyanga, Mwanga-kagera, Hazina na St Anne Marie- Dar, Rweikiza- Kagera na Martin Luther- Dodoma.



Kuyaona matokeo Bofya HAPA

0 comments:

Post a Comment