Mwanamke wa nne kutoka kulia ndiye aliyefariki dunia.
Diwani wa viti maalumu kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Tarafa ya Magoma Sarah Shembekeza amefariki dunia hapo jana alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ikonda.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri iliyotolewa kwa umma hajaweka bayana sababu za kifo ila imetaarifu kwamba Mazishi yanatazamiwa kufanyika hapo kesho katika kata na kijiji cha Iniho.

0 comments:
Post a Comment