Dr.
Mashinji amesema kwamba siasa zenye msamiati wa uchochezi huwa hazipo
hivyo kwani wadhaifu huwa ndiyo wanaotumia mabavu na siyo hoja.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Dkt Mashinji ameandika "Najenga hoja, unasema mi mchochezi. Kweli umekosa ushawishi jitafakari upya, siasa za sasa msamiati wa uchochezi haupo. Ni hoja kwa hoja!"
Hivi karibuni viongozi mbalimbali wa upinzani wamekuwa wakikamatwa na jeshi la polisi mara kwa mara kwa tuhuma za uchochezi.

0 comments:
Post a Comment