Kwa habari za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiburudani



Kwa habari za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiburudani

Labels

Monday, December 4, 2017

IGP WA TANZANIA NA RWANDA WAKUBALIANA KUIMARISHA ULINZI WA MPAKANI.

IGP wa Tanzania, Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo na IGP wa Rwanda, Emmanuel Gasana wakubaliana kushirikiana kudhibiti uhalifu wa mpakani.

Pia watabadilishana uzoefu kwenye mambo kadhaa likiwamo la Uhalifu Mtandaoni (Cybercrimes) ambalo limekuwa ni changamoto kubwa kwa Tanzania.


0 comments:

Post a Comment