RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu
Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na
Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika
ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
VIONGOZI wa Ngazi za juu wa
Serikali ya Abu Dhabi wakihudhuria hafla hiyo katika ukumbi wa makaazi
wa Mfalme wakati wa mkutano huo.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu
Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na
Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika
ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi. kulia Balozi wa
Tanzania Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mbarouk Nossor Mbarouk.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mwenyeji wake ,
Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu
Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE), baada ya
mazungumzo yao katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu
Dhabi.
Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed
Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa
Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)akimtambulisha Mtoto Aaliyah Al Mansoori kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohahed
Shein, wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza
mazungumzo yao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mtukufu Sheikh
Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakitoka katika Jumba la
Kiongozi huyo baada ya kumaliza mazungumzo yao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Mtukufu Sheikh
Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Kiongozi hiyo Nchini Abu
Dhabi.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment