
Naibu
 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na 
Utawala Bora Bibi. Dorothy Aidan Mwaluko akiagana na Kiongozi wa msafara
 wa magari yaliyobeba mizigo ya ofisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa zoezi 
la kuhamia Dodoma leo Jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyakazi 143 
wameagwa katika awamu hii ya pili, ambapo awamu ya kwanza waliondoka 
wafanyakazi 78. Katikati mwenye miwani Mkurugenzi wa Utawala na 
Rasilimali Watu Bibi. Jane Kajiru.
Gari
 lililobeba nyaraka na vifaa vya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi 
wa Umma na Utawala Bora likijiandaa kuondoka katika viwanja vya ofisi 
hiyo iliyopo Magogoni leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyakazi 143
 wameagwa katika awamu hii ya pili, ambapo awamu ya kwanza waliondoka 
wafanyakazi 78.
Baadhi
 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na 
Utawala Bora wakiwapungia mikono ya kwaheri madereva wa magari 
yaliyobeba mizigo ya ofisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa zoezi la kuhamia 
Dodoma leo Jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyakazi 143 wameagwa 
katika awamu hii ya pili, ambapo awamu ya kwanza waliondoka wafanyakazi 
78.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO
 
 
 
0 comments:
Post a Comment